sw_tn/luk/16/19.md

1.3 KiB

Kuunganisha kauli:

Wakati Yesu akiendelea kufundisha watu akaanza kuwaambia mfano. Ni kuhusu tajiri na Lazaro.

Taarifa kuu:

Hii nistari inatoa taarifa kuhusu hadithi. Yesu anaanza kueleza kuhusu tajiri na Lazaro.

ambaye alikuwa amevaa nguo ya zambarau na kitani safi

"ambao walivaa mavazi yaliyo tengenezwa na kitani safi" au "ambao walivaa nguo ghali sana." rangi ya zambarau na kitani safi zilikua nguo ghali sana.

alikua akifurahia kila siku utajiri wake

"kufurahia kula chakula cha gharama kila siku" au "alitumia fedha nyingi na kununua chochote akitakacho"

maskini mmoja jina lake Lazaro, aliwekwa mlangoni pake

Hii inaweza semwakama "Watu walikuwa wamemlaza maskini mmoja jina lake Lazaro kwenye lango lake"

kwenye lango lake

"katika lango la nyumba ya tajiri" au "katika mlango wa kuingia kwenye mali ya tajiri"

kufunikwa na vidonda

"na vidonda yote juu ya mwili wake"

yeye alitamani sana kulishwa na kile kilichoanguka kutoka meza ya tajiri

Hii inaweza semwa kama: "alitamana tajiri ampe makombo ya chakula ambayo atayatuma"

kando na hayo

hii inaonyesha kwamba kile kifuatavyo ni kibaya zaidi kuliko yale ambayo tayari yameelezwa kuhusu Lazaro. "katika nyiongez ya hayo" au "hata"

Mbwa

Wayahudi huchukuliwa mbwa kuwa wanyama wasio safi. Lazaro ni mgonjwa sana na dhaifu hata kufukuza mbwa wasimlambe vidonda vyake.