sw_tn/luk/16/03.md

756 B

Nifanye nini ... kazi?

wakili anauliza kwa hiari yake mwenyewe, kama njia ya kupitia upya chaguzi zake.

bwana wangu

Hii ina maana ya mtu tajiri. Wakili hakuwa mtumwa. "mwajiri wangu"

Sina nguvu kuchimba

"Mimi sina nguvu za kulima ardhi" au "Sina uwezo wa kuchimba"

wakati nikiondolewa kutoka kwenye kazi yangu ya usimamizi

hii inaweza kusemwa "wakati nikipoteza kazi yangu ya usimamizi" au "wakati bwana wangu inachukua mbali usimamizi wangu kazi"

Nifanye nini ... kazi?

meneja anauliza kwa hiari yake mwenyewe, kama njia ya kupitia upya chaguzi zake. "Inabidi nifikirie kuhusu nini nitafanya...kazi"

Watu wata nikaribisha katika nyumba zao

Hii ina maana kwamba watu hao watatoa kazi, au mambo mengine ambayo anayahitaji ili aishi.