# Nifanye nini ... kazi? wakili anauliza kwa hiari yake mwenyewe, kama njia ya kupitia upya chaguzi zake. # bwana wangu Hii ina maana ya mtu tajiri. Wakili hakuwa mtumwa. "mwajiri wangu" # Sina nguvu kuchimba "Mimi sina nguvu za kulima ardhi" au "Sina uwezo wa kuchimba" # wakati nikiondolewa kutoka kwenye kazi yangu ya usimamizi hii inaweza kusemwa "wakati nikipoteza kazi yangu ya usimamizi" au "wakati bwana wangu inachukua mbali usimamizi wangu kazi" # Nifanye nini ... kazi? meneja anauliza kwa hiari yake mwenyewe, kama njia ya kupitia upya chaguzi zake. "Inabidi nifikirie kuhusu nini nitafanya...kazi" # Watu wata nikaribisha katika nyumba zao Hii ina maana kwamba watu hao watatoa kazi, au mambo mengine ambayo anayahitaji ili aishi.