sw_tn/luk/16/01.md

28 lines
788 B
Markdown

# Kuunganisha kauli:
Yesu anaanza kuwaambia mfano mwingine. Ni kuhusu bwana na wakili wa wadaiwa wake. Hii bado ni sehemu moja ya hadithi na siku hiyo hiyo ambayo ilianza katika
# Yesu aliwaambia wanafunzi
sehemu ya mwisho ilikuwa ilivyoagizwa kwa Mafarisayo na waandishi, ingawa wanafunzi wa Yesu walikua sehemu ya umati wakisikiliza.
# Kulikuwa na mtu mmoja tajiri
huu ni utangulizi wa mhusika mpya katika mfano.
# iliripotiwa kwake
Hii inaweza alisema kama "Watu waliripoti kwa tajiri"
# kufuja mali yake
"kutumia mali ya tajiri kipumbavu"
# Ni nini hii ninayosikia juu yako?
Tajiri anatumia swali kumkemea wakili. "Nimesikia nini unafanya"
# Kutoa hesabu ya usimamizi wako
"panga rekodo zako ili kumkabidhi mtu mwingine" au "Andaa rekodi uliyo andika kuhusu fedha yangu"