sw_tn/luk/16/01.md

788 B

Kuunganisha kauli:

Yesu anaanza kuwaambia mfano mwingine. Ni kuhusu bwana na wakili wa wadaiwa wake. Hii bado ni sehemu moja ya hadithi na siku hiyo hiyo ambayo ilianza katika

Yesu aliwaambia wanafunzi

sehemu ya mwisho ilikuwa ilivyoagizwa kwa Mafarisayo na waandishi, ingawa wanafunzi wa Yesu walikua sehemu ya umati wakisikiliza.

Kulikuwa na mtu mmoja tajiri

huu ni utangulizi wa mhusika mpya katika mfano.

iliripotiwa kwake

Hii inaweza alisema kama "Watu waliripoti kwa tajiri"

kufuja mali yake

"kutumia mali ya tajiri kipumbavu"

Ni nini hii ninayosikia juu yako?

Tajiri anatumia swali kumkemea wakili. "Nimesikia nini unafanya"

Kutoa hesabu ya usimamizi wako

"panga rekodo zako ili kumkabidhi mtu mwingine" au "Andaa rekodi uliyo andika kuhusu fedha yangu"