sw_tn/luk/15/intro.md

1.0 KiB

Luka 15 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Mfano wa mwana mpotevu

Luka 15:13-32 ni mfano mmoja, unaojulikana kama mfano wa mwana mpotevu. Kuna takwimu tatu katika hadithi. Kwa ujumla inakubaliwa kuwa baba anaonyesha mfano wa Mungu (Baba), mwana mdogo mwenye dhambi anaonyesha mfano ya wale wanaotubu na kuja kwa imani katika Yesu, na mwana yule mkubwa anayejigamba kuwa mwenye haki anaonyesha mfano ya Wafarisayo. Msamaha unaoonyeshwa kwa mwana aliyepotea na mwenye dhambi unakuwa kizuizi kwa mwana mkubwa, na kumfanya kukataa baba. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/forgive]])

Dhana maalum katika sura hii

"Wenye dhambi"

Mafarisayo hutaja kundi la watu kuwa "wenye dhambi." Viongozi wa Kiyahudi walidhani watu hawa walikuwa wenye dhambi, lakini kwa kweli viongozi wenyewe walikuwa pia wenye dhambi. Hali hii inaweza kuchukuliwa kama kinaya. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-irony)

<< | >>