sw_tn/luk/15/31.md

268 B

baba akamwambia

neno "yake" inahusu mwana mkubwa.

huyu ndugu yako

baba alikuwa anamkumbusha mwana mkubwa kwamba mtu ambaye alikuja nyumbani alikuwa ndugu yake.

Alikua amekufa, na sasa yu hai

Tazama 15:22

Alikua amepotea na sasa amepatikana

Tazama 15:24