# baba akamwambia neno "yake" inahusu mwana mkubwa. # huyu ndugu yako baba alikuwa anamkumbusha mwana mkubwa kwamba mtu ambaye alikuja nyumbani alikuwa ndugu yake. # Alikua amekufa, na sasa yu hai Tazama 15:22 # Alikua amepotea na sasa amepatikana Tazama 15:24