sw_tn/luk/15/11.md

818 B

Kuunganisha kauli:

Yesu anaanza kuwaambia mfano mwingine. Ni kuhusu kijana ambaye anamuomba baba yake sehemu ya urithi wake.

Mtu mmoja

hii ni utangulizi wa mtu mwingine katika mfano. Baadhi ya lugha zinaweza kusema "Kulikuwa na mtu ambaye"

nipe saiv

mwana alitaka baba yake ampe haraka. Lugha ambazo zina njia ya amri hiyo ina maana kwamba wanataka iyo ifanyike mara moja unapaswa kutumia njia hiyo.

mali ninayo takiwa kurithi

"sehemu ya mali yako kwamba ulipanga kunipa mimi wakati wewe ukifa"

nipe

mwana alitaka baba yake ampe haraka. Lugha ambazo zina njia ya amri hiyo ina maana kwamba wanataka iyo ifanyike mara moja unapaswa kutumia njia hiyo.

sehemu ya mali ambayo inaniangukia mimi

"sehemu ya mali yako kwamba ulipanga kunipa mimi wakati wewe ukifa"

kati yao

"kati ya wanawe wawili"