sw_tn/luk/14/18.md

549 B

kuunganisha maelezo

Yesu anaendelea kusema mfano wake.

Habari za jumla

Watu wote ambao walialikwa na mtumishi wakampa udhuru kuhusu ni kwanini hawakuweza kuja kwenye karamu

kufanya udhuru

"Kusema kwa nini hawakuweza kuja chakula cha jioni"

Tafadhali udhuru kwangu

"Tafadhali nisamehe' au 'Tafadhali kubali msamaha wangu"

jozi tano za ng'ombe

AT "10 ng'ombe kufanya kazi katika mashamba yangu"

Kuoa mke

tumizi kujieleza ambako ni asili katika lugha yako. Baadhi ya lugha wanaweza kusema "wamezipata ndoa'"au "kuchukuliwa mke."