sw_tn/luk/14/18.md

24 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kuunganisha maelezo
Yesu anaendelea kusema mfano wake.
# Habari za jumla
Watu wote ambao walialikwa na mtumishi wakampa udhuru kuhusu ni kwanini hawakuweza kuja kwenye karamu
# kufanya udhuru
"Kusema kwa nini hawakuweza kuja chakula cha jioni"
# Tafadhali udhuru kwangu
"Tafadhali nisamehe' au 'Tafadhali kubali msamaha wangu"
# jozi tano za ng'ombe
AT "10 ng'ombe kufanya kazi katika mashamba yangu"
# Kuoa mke
tumizi kujieleza ambako ni asili katika lugha yako. Baadhi ya lugha wanaweza kusema "wamezipata ndoa'"au "kuchukuliwa mke."