sw_tn/luk/14/10.md

776 B

Kuunganisha maelezo

Jesus continues speaking to the people at the Pharisee's house.

Unapoalikwa

AT "wakati mtu anakualika kwenye mlo"

mahali pa chini zaidi

"Kiti maana ya mtu angalau muhimu"

kwenda juu zaidi

"sogea kwenye kiti kwaajiri ya watu muhimu zaidi"

Basi utakuwa wakuheshimiwa

AT "Kisha mmoja ambaye aliyekualika wewe atakuheshimu"

ambae anajiinu nafsi yake

"Anajaribu kuangalia muhimu" au "ambaye anachukua nafasi muhimu"

anayejinyenyekeza

"atakuwa ameonyesha kuwa duni" au "atapewa nafasi isiyomuhimu." au "Mungu atakayejinyenyekeza.'

anayejinyenyekeza

"Ambaye amechagua kuangalia isiyo muhimu" au "ambaye amechukua nafasi isiyo muhimu"

atainuliwa

"Itakuwa inaonyesha kuwa muhimu" au "atapewa nafasi muhimu." AT 'Mungu atawainua."