# Kuunganisha maelezo Jesus continues speaking to the people at the Pharisee's house. # Unapoalikwa AT "wakati mtu anakualika kwenye mlo" # mahali pa chini zaidi "Kiti maana ya mtu angalau muhimu" # kwenda juu zaidi "sogea kwenye kiti kwaajiri ya watu muhimu zaidi" # Basi utakuwa wakuheshimiwa AT "Kisha mmoja ambaye aliyekualika wewe atakuheshimu" # ambae anajiinu nafsi yake "Anajaribu kuangalia muhimu" au "ambaye anachukua nafasi muhimu" # anayejinyenyekeza "atakuwa ameonyesha kuwa duni" au "atapewa nafasi isiyomuhimu." au "Mungu atakayejinyenyekeza.' # anayejinyenyekeza "Ambaye amechagua kuangalia isiyo muhimu" au "ambaye amechukua nafasi isiyo muhimu" # atainuliwa "Itakuwa inaonyesha kuwa muhimu" au "atapewa nafasi muhimu." AT 'Mungu atawainua."