sw_tn/luk/13/34.md

32 lines
1.4 KiB
Markdown

# Kuunganisha maelezo:
Yesu alimaliza kukabiliana na Mafarisayo. Hii ni mwisho wa sehemu hii ya hadithi.
# Yerusalemu, Yerusalemu
esu anazungumza kana kwamba watu wa Yerusalemu walikuwa huko kumsikiliza. Yesu alisema hii mara mbili ili kuonyesha jinsi alikuwa akisikitisha kwa ajili yao
# mnawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwenu
Kama itakuwa ni ajabu kushughulikia mji, unaweza kufanya wazi kwamba Yesu kwa kweli akihutubia watu katika mji "wewe watu wanaowaua manabii na kuwapiga mawe wale Mungu aliwatumwa kwenu"
# kuwakusanya watoto wako
"Kukusanya watu wako" au 'kukusanya wewe"
# kwa jinsi kuku anavyokusanya vifaranga vyake chini ya mbawa zake
Hii inaelezea jinsi kuku inalinda vifaranga wake kutokana na madhara kwa kufunika wao kwa mbawa zake
# nyumba yenu imetelekezwa
Hii inaelezea jinsi kuku inalinda vifaranga wake kutokana na madhara kwa kuwafunika wao kwa mbawa zake.Maana inawezekana ni 1) "Mungu amekuacha" au 2) "mji yako ni tupu." Inamaana kwamba Mungu ameacha kulinda watu wa Yerusalemu, hata maadui wanaweza kuwashambulia na kuwafukuza. Huu ni unabii kuhusu jambo ambalo lingetokea hivi karibuni. AT "nyumba yako itakuwa imetelekezwa' au 'Mungu atawaacha ninyi."
# huwezi kuniona mimi hadi mtakaposema
"Huwezi kuniona mpaka wakati unakuja wakati utasema" au "wakati mwingine utakaponiona, utasema"
# JIna la bwana
Hapa "jina" inahusu nguvu na mamlaka ya Bwana