sw_tn/luk/13/34.md

1.4 KiB

Kuunganisha maelezo:

Yesu alimaliza kukabiliana na Mafarisayo. Hii ni mwisho wa sehemu hii ya hadithi.

Yerusalemu, Yerusalemu

esu anazungumza kana kwamba watu wa Yerusalemu walikuwa huko kumsikiliza. Yesu alisema hii mara mbili ili kuonyesha jinsi alikuwa akisikitisha kwa ajili yao

mnawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwenu

Kama itakuwa ni ajabu kushughulikia mji, unaweza kufanya wazi kwamba Yesu kwa kweli akihutubia watu katika mji "wewe watu wanaowaua manabii na kuwapiga mawe wale Mungu aliwatumwa kwenu"

kuwakusanya watoto wako

"Kukusanya watu wako" au 'kukusanya wewe"

kwa jinsi kuku anavyokusanya vifaranga vyake chini ya mbawa zake

Hii inaelezea jinsi kuku inalinda vifaranga wake kutokana na madhara kwa kufunika wao kwa mbawa zake

nyumba yenu imetelekezwa

Hii inaelezea jinsi kuku inalinda vifaranga wake kutokana na madhara kwa kuwafunika wao kwa mbawa zake.Maana inawezekana ni 1) "Mungu amekuacha" au 2) "mji yako ni tupu." Inamaana kwamba Mungu ameacha kulinda watu wa Yerusalemu, hata maadui wanaweza kuwashambulia na kuwafukuza. Huu ni unabii kuhusu jambo ambalo lingetokea hivi karibuni. AT "nyumba yako itakuwa imetelekezwa' au 'Mungu atawaacha ninyi."

huwezi kuniona mimi hadi mtakaposema

"Huwezi kuniona mpaka wakati unakuja wakati utasema" au "wakati mwingine utakaponiona, utasema"

JIna la bwana

Hapa "jina" inahusu nguvu na mamlaka ya Bwana