sw_tn/luk/13/20.md

516 B

Unganisha maelezo

Yesu alimaliza kuzungumza na watu katika sinagogi. Huu ni mwisho wa sehemu hii ya hadithi.

Kwa nini naweza kulinganisha Ufalme wa Mungu?

Yesu anatumia swali jingine kutambulisha kile yeye ataweza kufundisha.

Ni kama chachu

Kiasi kidogo tu cha chachu kilikua kinahitajika ili kufanya kiasi cha unga kuumuka . Hii inaweza kufanya wazi kama ilivyo katika UDB.

vipimo vitatu vya unga

"kiasi kikubwa cha unga" au kwa muda kwamba utamaduni wako unatumia kwa kupima kiasi kikubwa cha unga.