# Unganisha maelezo Yesu alimaliza kuzungumza na watu katika sinagogi. Huu ni mwisho wa sehemu hii ya hadithi. # Kwa nini naweza kulinganisha Ufalme wa Mungu? Yesu anatumia swali jingine kutambulisha kile yeye ataweza kufundisha. # Ni kama chachu Kiasi kidogo tu cha chachu kilikua kinahitajika ili kufanya kiasi cha unga kuumuka . Hii inaweza kufanya wazi kama ilivyo katika UDB. # vipimo vitatu vya unga "kiasi kikubwa cha unga" au kwa muda kwamba utamaduni wako unatumia kwa kupima kiasi kikubwa cha unga.