sw_tn/luk/13/18.md

975 B

Kuunganisha maelezo

Yesu alianza kwa kuwaambia mfano kwa watu katika sinagogi.

Ufalme wa Mungu unafanana na nini

Yesu anatumia swali kutambulisha kile yeye kitamhusu kufundisha. AT "Mimi nitawaambia ufalme wa Mungu ni kama nini"

nini naweza kuulinganisha nacho

Hii kimsingi ni sawa na swali lililopita. Yesu alitumia hilo kutambulisha nini ataweza kukizungumzia . Baadhi ya lugha wanaweza kutumia yote kwa ujumla, na baadhi kutumia moja tu.

Ni kama mbegu ya Haradali

Mbegu ya haradali ni mbegu ndogo sana ambayo hukua katika mimea kubwa. Kama hii haijulikani, inaweza kutafsiriwa kwa jina la mbegu nyingine kama hiyo au rahisi kama "mbegu ndogo."

na huipanda Bustanini mwake

na hupandwa katika bustani zao. ' Watu hupanda aina ya baadhi ya mbegu kwa kuzitupa ili waweze kuzitawanya katika bustani.

mti mkubwa

Hii ni exaggeration ya kufanya hatua. AT 'kichaka kubwa sana.'

"Ndege wa angani"

"Ndege wa angani." AT "ndege warukao angani" au "ndege".