forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
975 B
Markdown
28 lines
975 B
Markdown
|
# Kuunganisha maelezo
|
||
|
|
||
|
Yesu alianza kwa kuwaambia mfano kwa watu katika sinagogi.
|
||
|
|
||
|
# Ufalme wa Mungu unafanana na nini
|
||
|
|
||
|
Yesu anatumia swali kutambulisha kile yeye kitamhusu kufundisha. AT "Mimi nitawaambia ufalme wa Mungu ni kama nini"
|
||
|
|
||
|
# nini naweza kuulinganisha nacho
|
||
|
|
||
|
Hii kimsingi ni sawa na swali lililopita. Yesu alitumia hilo kutambulisha nini ataweza kukizungumzia . Baadhi ya lugha wanaweza kutumia yote kwa ujumla, na baadhi kutumia moja tu.
|
||
|
|
||
|
# Ni kama mbegu ya Haradali
|
||
|
|
||
|
Mbegu ya haradali ni mbegu ndogo sana ambayo hukua katika mimea kubwa. Kama hii haijulikani, inaweza kutafsiriwa kwa jina la mbegu nyingine kama hiyo au rahisi kama "mbegu ndogo."
|
||
|
|
||
|
# na huipanda Bustanini mwake
|
||
|
|
||
|
na hupandwa katika bustani zao. ' Watu hupanda aina ya baadhi ya mbegu kwa kuzitupa ili waweze kuzitawanya katika bustani.
|
||
|
|
||
|
# mti mkubwa
|
||
|
|
||
|
Hii ni exaggeration ya kufanya hatua. AT 'kichaka kubwa sana.'
|
||
|
|
||
|
# "Ndege wa angani"
|
||
|
|
||
|
"Ndege wa angani." AT "ndege warukao angani" au "ndege".
|