sw_tn/luk/13/12.md

24 lines
448 B
Markdown

# Umeponywa udhaifu wako
"Wewe umeponywa kutokana na ugonjwa wako." Kwa kusema hivyo, Yesu alikuwa akifanya na kutokea.
# Aliweka mikono yake juu yake
Yeye alimgusa
# yeye aliweza kujiinua
AT "yeye alisimama moja kwa moja"
# alichukizwa kwa sababu Yesu alikuwa amemponya
AT "alikuwa na hasira kwa sababu Yesu amemponya"
# akajibu na kusema
"Alisema" au "alijibu"
# Mje na muponywe kisha
AT "njooni basi huponya wakati wa siku hizo sita"