sw_tn/luk/13/12.md

448 B

Umeponywa udhaifu wako

"Wewe umeponywa kutokana na ugonjwa wako." Kwa kusema hivyo, Yesu alikuwa akifanya na kutokea.

Aliweka mikono yake juu yake

Yeye alimgusa

yeye aliweza kujiinua

AT "yeye alisimama moja kwa moja"

alichukizwa kwa sababu Yesu alikuwa amemponya

AT "alikuwa na hasira kwa sababu Yesu amemponya"

akajibu na kusema

"Alisema" au "alijibu"

Mje na muponywe kisha

AT "njooni basi huponya wakati wa siku hizo sita"