sw_tn/luk/13/08.md

451 B

kuunganisha maelezo

Yesu alimaliza kusimulia mfano wake. Huu ni mwisho wa sehemu ya hadithi ambayo ilianza

Uache

AT '"usiufanyie kitu chochote huu mti" au " usiukate"

na weka mbolea juu yake

"na weka mbolea kwenye udongo." Mbolea ni kinyesi cha wanyama. Watu huiweka kwenye ardhi kufanya udongo kuwa mzuri kwa mimea na miti.

Ukate

Mtumishi alitoa pendekezo; yeye hakuwa anatoa amri kwa mmiliki. AT "Ngoja niukate" au "Niambie niukata."