sw_tn/luk/13/06.md

16 lines
373 B
Markdown

# Habari za jumla
Yesu anaanza kwa kuwaambia mfano kueleza kauli yake ya mwisho, "Lakini kama hamta tubu, nyote pia mtangamia."
# Mtu mmoja alikuwa amepanda mti
Mtu alikuwa amepanda mti
# Miaka mitatu
3 miaka
# Kwani unaleta unaharibifu wa ardhi?
mtu anatumia swali kusisitiza kwamba mti haina maana na mtunza bustan lazima aukata. AT "Je, si basi unaharibu ardhi".