sw_tn/luk/13/06.md

373 B

Habari za jumla

Yesu anaanza kwa kuwaambia mfano kueleza kauli yake ya mwisho, "Lakini kama hamta tubu, nyote pia mtangamia."

Mtu mmoja alikuwa amepanda mti

Mtu alikuwa amepanda mti

Miaka mitatu

3 miaka

Kwani unaleta unaharibifu wa ardhi?

mtu anatumia swali kusisitiza kwamba mti haina maana na mtunza bustan lazima aukata. AT "Je, si basi unaharibu ardhi".