sw_tn/luk/12/57.md

595 B

kwanini msihukumu yaliyo sahihi wenyewe?

Yesu anatumia swali kukemea umati. Anafundisha namna ya kufanya jambo jema kabila ya kuchelewa. Ninyi wenyewe mwatakiwa kutambua yaliyo mema"

wenyewe

"kwa utashi wenu" au "wakati bado mna muda wa kufanya hivyo"

Maana mkienda

Japo Yesu alikuwa akiongea na umati, hali aliyokuwa anaiwasilisha ni ya mtu kupitia mwenyewe..

kukubaliana na mshitaki wako

"mkubaliane juu ya jambo na mshitaki wako"

hakimu

Hili lina maanisha hakimu mkazi, lakini neno hili hap ni maalum zaidi na linatisha.

hatakutoa huko

"hatakuruhusu wewe utoke huko"