sw_tn/luk/12/57.md

24 lines
595 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwanini msihukumu yaliyo sahihi wenyewe?
Yesu anatumia swali kukemea umati. Anafundisha namna ya kufanya jambo jema kabila ya kuchelewa. Ninyi wenyewe mwatakiwa kutambua yaliyo mema"
# wenyewe
"kwa utashi wenu" au "wakati bado mna muda wa kufanya hivyo"
# Maana mkienda
Japo Yesu alikuwa akiongea na umati, hali aliyokuwa anaiwasilisha ni ya mtu kupitia mwenyewe..
# kukubaliana na mshitaki wako
"mkubaliane juu ya jambo na mshitaki wako"
# hakimu
Hili lina maanisha hakimu mkazi, lakini neno hili hap ni maalum zaidi na linatisha.
# hatakutoa huko
"hatakuruhusu wewe utoke huko"