sw_tn/luk/12/47.md

547 B

Kauli inayounganisha

Yesu alimaliza kuelezea mfano

atapigwa viboko vingi

"atapigwa mara nyingi" au "atachapwa mara nyingi" ."bwana wake atampiga mara nyingi"au "bwana wake atamuadhibu sana"

kwa kuwa yeye aliyepewa vingi, vingi hudaiwa kutoka kwake

"watahitaji vingi kwa yeyote aliyepokea vingi" au " bwana atahitaji vingi kwa kila mmoja aliyempa vingi"

na yeye aliyeaminiwa kwa vingi

"Kwa yule waliyempatia vitu vingi avitunze" au "kwa yule aliyepewa wajibu mkubwa"

aliyeaminiwa ...vitadaiwa

"bwana alimkabidhi ..bwana atataka"