sw_tn/luk/12/47.md

20 lines
547 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli inayounganisha
Yesu alimaliza kuelezea mfano
# atapigwa viboko vingi
"atapigwa mara nyingi" au "atachapwa mara nyingi" ."bwana wake atampiga mara nyingi"au "bwana wake atamuadhibu sana"
# kwa kuwa yeye aliyepewa vingi, vingi hudaiwa kutoka kwake
"watahitaji vingi kwa yeyote aliyepokea vingi" au " bwana atahitaji vingi kwa kila mmoja aliyempa vingi"
# na yeye aliyeaminiwa kwa vingi
"Kwa yule waliyempatia vitu vingi avitunze" au "kwa yule aliyepewa wajibu mkubwa"
# aliyeaminiwa ...vitadaiwa
"bwana alimkabidhi ..bwana atataka"