sw_tn/luk/12/39.md

402 B

asingeruhusu nyumba yake ifunjwe

"asingeruhusu mwizi aivunje nyumba yake"

kwani hamjui ni saa ngapi mwana wa Adamu atarudi

Kitu pekee kinacho wafananishwa kati ya mwizi na Mwana wa Adamu ni kwamba watu hawajui ni wakati gani wanakuja, hivyo wanatakiwa kuwa tayari.

wakati gani Mwana wa Adamu atarudi

Yesu alikuwa akiongelea habari zake mwenyewe. "wakati Mimi, Mwana wa Adamu, nitakapo kuja"