sw_tn/luk/12/39.md

12 lines
402 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# asingeruhusu nyumba yake ifunjwe
"asingeruhusu mwizi aivunje nyumba yake"
# kwani hamjui ni saa ngapi mwana wa Adamu atarudi
Kitu pekee kinacho wafananishwa kati ya mwizi na Mwana wa Adamu ni kwamba watu hawajui ni wakati gani wanakuja, hivyo wanatakiwa kuwa tayari.
# wakati gani Mwana wa Adamu atarudi
Yesu alikuwa akiongelea habari zake mwenyewe. "wakati Mimi, Mwana wa Adamu, nitakapo kuja"