sw_tn/luk/12/31.md

464 B

tafuteni ufalme

"kushughulika na ufalme wa Mungu" au "Kutamani sana ufalme wa Mungu"

na hayo mengine mtazidishiwa

"hayo mambo mengine pia mtapewa". "Hayo mengine" ina maanisha chakula na mavazi. "Mungu atawapa ninyi hizo vitu"

kundi dogo

Yesu aliwaita wanafunzi wake kundi. Kundi ni mkusanyiko wa kondoo au mbuzi ambayo mchungaji anawatunza. Kama vile mchungaji anvyowajali kondoo, Mungu atawajali wanafunzi wa Yesu. "kundi dogo"au "kundi linalopendwa"