sw_tn/luk/12/16.md

348 B

Kauli inayounganisha

Yesu aliendeleza mafundisho yake kwa kuwaeleza mfano

Kisha Yesu akawaambia

Huenda Yesu alikuwa bado anaongea na mkutano wote.

ilizaa sana

"imezaa mavuno mengi"

ghala

jengo ambalo wakulima huhifadhi mazao na chakula wanachopanda baada ya kuvunwa

vitu

"Mali"

Nitaiambia nafsi yangu

"Nitajiambia mwenyewe"