sw_tn/luk/12/11.md

12 lines
204 B
Markdown

# mbele ya wakuu wa masinagogi
" Ndani ya masinagogi ili wawaulize maswali kwa viongozi wa kidini"
# wenye mamlaka
"watu wengine wenye nguvu ndani ya nchi"
# kwa wakati huo
"kwa muda huo" au "Kisha"