# mbele ya wakuu wa masinagogi " Ndani ya masinagogi ili wawaulize maswali kwa viongozi wa kidini" # wenye mamlaka "watu wengine wenye nguvu ndani ya nchi" # kwa wakati huo "kwa muda huo" au "Kisha"