sw_tn/luk/11/52.md

526 B

Kauli ya kuunganisha

Yesu alimaliza kumjibu mwalimu wa Kiyahudi

mmechukuwa funguo za ufahamu ...na mnawazuia wale wanaotaka kuingia

Yesu aliongea kuhusu ukweli wa Mungu kama vile ilikuwa ndani ya nyumba ambayo waalimu walikataa kuingia na hawaruhusu wengine kuingia. Hii ina maanisha waalimu hawamjui Mungu , na pia wanawazuia wengine kumjua Yeye pia.

Ufunguo

Hii inawakilisha maana ya ruhusa, kama kwenye nyumba au kwenye chumba cha stoo.

nyie wenyewe hamuingii

" ninyi wenyewe hamuingii ndani kupata ufahamu"