sw_tn/luk/11/52.md

16 lines
526 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli ya kuunganisha
Yesu alimaliza kumjibu mwalimu wa Kiyahudi
# mmechukuwa funguo za ufahamu ...na mnawazuia wale wanaotaka kuingia
Yesu aliongea kuhusu ukweli wa Mungu kama vile ilikuwa ndani ya nyumba ambayo waalimu walikataa kuingia na hawaruhusu wengine kuingia. Hii ina maanisha waalimu hawamjui Mungu , na pia wanawazuia wengine kumjua Yeye pia.
# Ufunguo
Hii inawakilisha maana ya ruhusa, kama kwenye nyumba au kwenye chumba cha stoo.
# nyie wenyewe hamuingii
" ninyi wenyewe hamuingii ndani kupata ufahamu"