forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
548 B
Markdown
12 lines
548 B
Markdown
# Habari ya Jumla
|
|
|
|
Yesu alianza kumjibu mwalimu wa Kiyahudi
|
|
|
|
# kwani mnawapa watu mizigomikubwa wasiyoweza kuibeba
|
|
|
|
"munaweka mizigo juu ya watu ambayo ni mizito kubebeka" . Yesu aliongea kuhusu mtu fulani kuwapa watu sheria nyingi kama mtu kuwapa mizigo mizito kubeba. "Mnawapa watu mizigo mizito kwa kuwapa sheria nyingi za kufuata"
|
|
|
|
# walakini ninyi hamgusi mizigo hiyo hata kwa moja ya vidole vyenu.
|
|
|
|
"lakini hamtumii hata moja ya kidole chenu kuwasaidia kubeba mizigo hiyo. "Lakini hamfanyi kitu chochote kabisa kuwasaidia waitii sheria zenu"
|