sw_tn/luk/11/45.md

548 B

Habari ya Jumla

Yesu alianza kumjibu mwalimu wa Kiyahudi

kwani mnawapa watu mizigomikubwa wasiyoweza kuibeba

"munaweka mizigo juu ya watu ambayo ni mizito kubebeka" . Yesu aliongea kuhusu mtu fulani kuwapa watu sheria nyingi kama mtu kuwapa mizigo mizito kubeba. "Mnawapa watu mizigo mizito kwa kuwapa sheria nyingi za kufuata"

walakini ninyi hamgusi mizigo hiyo hata kwa moja ya vidole vyenu.

"lakini hamtumii hata moja ya kidole chenu kuwasaidia kubeba mizigo hiyo. "Lakini hamfanyi kitu chochote kabisa kuwasaidia waitii sheria zenu"