sw_tn/luk/11/31.md

16 lines
419 B
Markdown

# Malkia wa Kusini
Hii ilimaanisha malkia wa wa Sheba. Sheba ilikuwa ni ufalme wa kusini mwa Israeli
# atasimama siku ya hukumu na watu wa kizazi hiki
"Atasima pia na kuwahukumu watu wa kizazi hiki"
# kalitoka katika mwisho wa nchi
"alikuja tokae umbali mrefu" au " Alikuja kutoka sehemu ya mbali"
# Yuko mkuu kuliko Sulemani
Yesu alikuwa akiongelea juu yake. "Mimi ni mkuu kuliko Sulemani lakini hamnisikilizi"