sw_tn/luk/11/31.md

419 B

Malkia wa Kusini

Hii ilimaanisha malkia wa wa Sheba. Sheba ilikuwa ni ufalme wa kusini mwa Israeli

atasimama siku ya hukumu na watu wa kizazi hiki

"Atasima pia na kuwahukumu watu wa kizazi hiki"

kalitoka katika mwisho wa nchi

"alikuja tokae umbali mrefu" au " Alikuja kutoka sehemu ya mbali"

Yuko mkuu kuliko Sulemani

Yesu alikuwa akiongelea juu yake. "Mimi ni mkuu kuliko Sulemani lakini hamnisikilizi"