sw_tn/luk/11/29.md

28 lines
752 B
Markdown

# Kauli inayounganisha
Yesu aliendelea kufundisha umati
# Kizazi hiki ni kizazi cha uovu
Watu wanaoishi katika nyaka hii ni watu waovu
# Hutafuta ishara
"Wanataka mimi niwape ishara " au "Wengi wenu mnataka mimi niwape ishara" . Habari ya aina ya ishara wanayotaka inaweza kufaywa rahisi kama ilivyo katika UDB
# na hakuna ishara watakao pewa
"Mungu hatawapa ishara "
# Ishara wa Yona
"kile kilichotokea kwa Yona" au "muujiza ambao Mungu alifanya kwa Yona"
# Maana kama Yona alivyokuwa ishara...ndivyo
Hii inamaana kuwa Yesu atatumika kama ishara kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Wayahudi wa wakati huo kama ilivyokuwa kwa Yona alivyotumika kama ishara kutoka kwa Mungu kwa watu wa Ninawi.
# Mwana wa Adamu
Yesu alikuwa akijisemea mwenyewe