sw_tn/luk/11/29.md

752 B

Kauli inayounganisha

Yesu aliendelea kufundisha umati

Kizazi hiki ni kizazi cha uovu

Watu wanaoishi katika nyaka hii ni watu waovu

Hutafuta ishara

"Wanataka mimi niwape ishara " au "Wengi wenu mnataka mimi niwape ishara" . Habari ya aina ya ishara wanayotaka inaweza kufaywa rahisi kama ilivyo katika UDB

na hakuna ishara watakao pewa

"Mungu hatawapa ishara "

Ishara wa Yona

"kile kilichotokea kwa Yona" au "muujiza ambao Mungu alifanya kwa Yona"

Maana kama Yona alivyokuwa ishara...ndivyo

Hii inamaana kuwa Yesu atatumika kama ishara kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Wayahudi wa wakati huo kama ilivyokuwa kwa Yona alivyotumika kama ishara kutoka kwa Mungu kwa watu wa Ninawi.

Mwana wa Adamu

Yesu alikuwa akijisemea mwenyewe