sw_tn/luk/11/21.md

540 B

mtu mwenye nguvu ...akilinda nyumba yake

Hii inaongelea Yesu ambaye anamshinda Shetani na mapepo wake kama mtu mwenye nguvu zaidi ananyo chukua vitu vya mtu mwenye nguvu

vitu vyake vitakaa salama

"hakuna awezaye kuiba vitu vyake"

na kuzichukua mali zake zote

"Kuiba mali zake" au kuchukua kila kitu alichokitaka"

yeye asiye pamoja nami

"yeye asiyenisaidia " au "yeye asitenda kazi pamoja nami"

yuko kinyume nami

"anafanya kazi kinyume nami". Hii inamaanisha wale watu waliosema kuwa Yesu anafanya kazi pamoja na Shetani.