sw_tn/luk/11/21.md

20 lines
540 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mtu mwenye nguvu ...akilinda nyumba yake
Hii inaongelea Yesu ambaye anamshinda Shetani na mapepo wake kama mtu mwenye nguvu zaidi ananyo chukua vitu vya mtu mwenye nguvu
# vitu vyake vitakaa salama
"hakuna awezaye kuiba vitu vyake"
# na kuzichukua mali zake zote
"Kuiba mali zake" au kuchukua kila kitu alichokitaka"
# yeye asiye pamoja nami
"yeye asiyenisaidia " au "yeye asitenda kazi pamoja nami"
# yuko kinyume nami
"anafanya kazi kinyume nami". Hii inamaanisha wale watu waliosema kuwa Yesu anafanya kazi pamoja na Shetani.