forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
873 B
Markdown
24 lines
873 B
Markdown
# Habari ya jumla
|
|
|
|
Yesu alianza kujibu umati waliojikusanya
|
|
|
|
# Wengine wakamjaribu
|
|
|
|
"Watu wngine walimjaribu Yesu". Walimtaka awathibitishie kuwa mamlaka yake yanatoka kwa Mungu.
|
|
|
|
# na kumtaka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni
|
|
|
|
"na kumuambia awape ishara kutoka mbinguni" au "kwa kutaka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni". Ni kwa njia hii walimtaka yeye athibitishe kuwa mamlaka yake yanatoka kwa Mungu.
|
|
|
|
# Kila ufalme utakaogawanyika itakuwa ukiwa
|
|
|
|
"Kama watu katika ufalime watapigana wenyewe kwa wenyewe, wataingamiza ufalme wao. "
|
|
|
|
# Nyumba iliyogawanyika itaanguka
|
|
|
|
Hapa "Nyumba" inamaanisha ni familia, "Kama watu wa familia moja wakipigana wenyewe kwa wenyewe wataiharibu familia yao"
|
|
|
|
# kuanguka
|
|
|
|
"Kuangushwa chini na kuharibiwa" Taswira hii ya nyumba kuanguka chini inafananishwa na uharibifu utakaotokea pale watu wa familia moja wakipigana wenyewe kwa wenyewe.
|