sw_tn/luk/11/16.md

873 B

Habari ya jumla

Yesu alianza kujibu umati waliojikusanya

Wengine wakamjaribu

"Watu wngine walimjaribu Yesu". Walimtaka awathibitishie kuwa mamlaka yake yanatoka kwa Mungu.

na kumtaka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni

"na kumuambia awape ishara kutoka mbinguni" au "kwa kutaka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni". Ni kwa njia hii walimtaka yeye athibitishe kuwa mamlaka yake yanatoka kwa Mungu.

Kila ufalme utakaogawanyika itakuwa ukiwa

"Kama watu katika ufalime watapigana wenyewe kwa wenyewe, wataingamiza ufalme wao. "

Nyumba iliyogawanyika itaanguka

Hapa "Nyumba" inamaanisha ni familia, "Kama watu wa familia moja wakipigana wenyewe kwa wenyewe wataiharibu familia yao"

kuanguka

"Kuangushwa chini na kuharibiwa" Taswira hii ya nyumba kuanguka chini inafananishwa na uharibifu utakaotokea pale watu wa familia moja wakipigana wenyewe kwa wenyewe.