sw_tn/luk/10/31.md

639 B

Kwa bahati

Hiki ni kitu ambacho hakuna alikuwa amepanga.

kuhani fulani

Maelezo haya yanatambulisha mtu mpya katika simuilizi, lakini haimutaji kwa jina lake.

Na alipomuona

"Na baada ya kuhani kumuona yule mtu aliekuwa amejeruhiwa".Kuhani ni mtu wa dini, hivyo watu walihisi ya kuwa angemsaidia yule mtu.Kwa sababu hakumsaidia aya hii ingeweza kutafasiriwa kama "lakini baaada ya kumuona" kuleta umakini kwa hii hali ambayo haikutokea kama ilivyokuwa ikitarajiwa.

Akapita uapende mwingine wa barabara

Inaonesha dhahiri ya kuwa hakumsaidia yule mtu mwenye majeraha. AT:"hakumsaidia yule mwenye majeraha badala yake alimpita".