sw_tn/luk/09/37.md

989 B

Sentensi unganishi

Siku ya pili baada ya Yesu kubali muonekano, Yesu alitoa pepo lililokuwa limemuingia kijana ambae wanafunzi walishindwa kumponya.

Ikatokea

Hii tungo inaashiria mwanzo wa sehemu nyingine ya hadithi, Kama lugha yako ina maana nzuri zaidi , unaweza fikiria kuitumia hapa.

Tazama, mwanaume kutoka kwenye kusanyiko

Neno "tazama" linatujulisha juu ya mtu mpya anaetokea kwenye hadithi. lugha yako ina maana nzuri zaidi. Kiingereza kinatumia "kulikuwa na mwanaume kwenye kusanyikao"

unaona, roho

Tungo "unaona" inatutambulisha kwa pepo kwenye hadithi ya mwanadamu. lugha yako ina maana nzuri zaidi. Kiingereza kinatumia "kulikuwa na pepo"

Lilitoka kwa tabu

inaweza kuwa na maana hizi 1) "vigumu kumuacha kamwe mwanangu" (UDB) au 2) "ni ngumu kwa mwanangu wakati linatoka"

povu mdomoni

Wakati mtu anamshituko, wanaweza kupata shida kupimua au kumeza. Hii inasababisha povu jeupe kutokea kwenye midomo yao. Kama lugha yako inaweza elezea vizuri, itumie.