sw_tn/luk/09/12.md

24 lines
530 B
Markdown

# Siku ikaanza kuisha
"jua lilivyoanza kuzama" au " siku ilivyoanza kuisha"
# Watawanye makutano
"kuwaambia makutano waondoke"
# labda twende tukanunua chakula
AT: " labda tutaenda kununa chakula" au " labda kama twende kununua chakula" au unaweza kuanza sentyensi mpya "kama wewe unataka tuwalishe, tutatakiwa kwenda kununua chakula."
# kama wanaume elfu tano
"kama wanaume elfu tano." hii number haijumuishi wanwake na watoto ambao yaweza kuwa walikuwepo.
# wakalisheni
"waambieni wakae"
# "hamsini kila "
"50 kila "