sw_tn/luk/09/12.md

530 B

Siku ikaanza kuisha

"jua lilivyoanza kuzama" au " siku ilivyoanza kuisha"

Watawanye makutano

"kuwaambia makutano waondoke"

labda twende tukanunua chakula

AT: " labda tutaenda kununa chakula" au " labda kama twende kununua chakula" au unaweza kuanza sentyensi mpya "kama wewe unataka tuwalishe, tutatakiwa kwenda kununua chakula."

kama wanaume elfu tano

"kama wanaume elfu tano." hii number haijumuishi wanwake na watoto ambao yaweza kuwa walikuwepo.

wakalisheni

"waambieni wakae"

"hamsini kila "

"50 kila "